Nyimbo ya Alikiba aje imezidi kumfungulia zaidi kimataifa baada ya kuhojiwa na vituo mbali mbali vya television na radio pia kwa sasa wimbo huo umepata shavu la kutumiwa kama muito kwenye mtandao wa MTN unaopatikana South Africa na Nigeria na kuendelea pia leo atakua akihojiwa na chanel ya Trace urban saa 12:30 Chanel no 326 on Dstv
Jumamosi, 10 Septemba 2016
Ijumaa, 9 Septemba 2016
kikosi cha man city
kocha wa man city pep Gurdiola ataja kikosi chake cha mechi ya leo 👇👇👇
Edited by moraki & kimbutu mbaga
Edited by moraki & kimbutu mbaga
Manchester Darby
Team mbili zinazotoka jiji moja la manchester leo zitakutana kwenye uwanja wa old trafod wa manchester united mahasimu hao manchester united na Manchester city watakutana wakiwa na makocha wao wapya msimu huu city ikiwa na cocha wao Pepe Gurdiola huku united ikiwa na Jose Morinho .Man city ina hati hati ya kumkosa aguero huku man u ikimkosa barly
Barnaba atoa video mpya
Msanii Barnaba kutoka Tanzania ameachia video ya wimbo wake mpya wa lover boy uliongozwa na mwongozaji travela kutoka kwetu studio
malaika achia video mpya
Msanii malaika ameachia video yake mpya ya Rarua rarua ambayo imeongozwa na mwongozaji Marufu hapa nchini kwa jina Hancana
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)



