Jumanne, 13 Septemba 2016

Baraka achia nyimbo na alikiba

Msanii baraka the prince achia nyimbo yake mpya ya nisamehe ambayo inazidi kimbiza kwa vews huko mkito nyimbo hio baraka the prince kamshirikisha msanii Alikiba (king kiba). Ingia mkito.com downlod bonge la nyimbohttps://mkito.com/song/13386

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni