Jumamosi, 10 Septemba 2016

Msanii wa bongo movies azidi kuteka tz

Msanii wema sepetu wa bongo movie  azidi kuiteka Tanzania  kupitia kujikita kwenye uandaji wa show za kisingeli,baikoko nk hivyo inaonekana inamuingizia sana wema kipato baada ya kumaliza dar sasa ameipeleka show hioo Tanga !!!

Edited by moraki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni