Ijumaa, 9 Septemba 2016

muziki wa Tanzania wazidi kupasua anga kimataifa

Mziki wa Tanzania umezidi kubamba kimataifa baada ya wasanii watatu kutoka Tanzania kutajwa kwenye tuzo za BEFFTA  awards wasanii waliotajwa ni Alikiba amae katajwa kwenye kipengele cha msanii bora wa kimataifa wa kiume na video bora ya mwaka (mwana) na diamond platnumz pia katajwa kwenye vipengele hivyo hivyo huku video bora ni (utanienda msanii mwingine aliye tajwa ni Vanessa mdee kwenye kipengele cha msanii bora wa kike wa kimataifa .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni