Jumanne, 27 Septemba 2016

Mombasa moto wa burudani

Tarehe 8 mwezi wa 10 mombasa itapata msisimko wa burudani (mombasa festival)burudani hioo itakua na wasanii wawili wa kimataifa pia ni marafiki wakubwa sana wasanii hao ni Chris brow kutoka marekani na wizkid kutoka Nigeria  hivyo mombasa wajiandaee

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni