Jumamosi, 10 Septemba 2016

Aje yamfikisha Alikiba mbali

Nyimbo ya Alikiba aje imezidi kumfungulia zaidi kimataifa baada ya kuhojiwa na vituo mbali mbali vya television  na radio pia kwa sasa wimbo huo umepata shavu la kutumiwa kama muito kwenye mtandao wa MTN unaopatikana South Africa na Nigeria na kuendelea pia leo atakua akihojiwa na chanel ya Trace urban saa 12:30 Chanel no 326 on Dstv

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni