Jumamosi, 17 Septemba 2016

Yanga kiboko simba jeuri

Yanga jana iliendeleza ubabe wake baada ya kuifunga mwadui fc goli 2-0 mwadui inayongozwa na kocha mwenye majigambo jamuhuri kiwelo yanga ikiwa na kocha plujim magoli ya yanga yalifungwa na Tambwe ambae ameanza kukipigania kiatu chake cha dhahabu na lapili lilifungwa na donald ngoma huku yanga ikibaki kuwa timu pekee ambayo haijaruhusu goli .Nao mahasimu wao simba sc jana walionyesha kuzidi kulipania taji la ligi la msimu huu baada ya jana kuifunga Azam fc goli 1-0 goli lililofungwa na winga shiza kichuya aliyesajiliwa kutoka mtibwa simba kwa sasa ipo kileleni kwa point 13 ikifuatiwa na yanga yenye point 10 huku ikiwa na kiporo kimoja

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni